Doctor Priyank amekua ni doctor ambaye anajituma sana inapokuja swala la wagonjwa wake. Nashukuru sana amenisadia sana kutafuta hospital, visa , tickets za ndege,watu wakunipokea nchini India kwa matibabu yangu kwakweli Kila kitu alikifanya kwa umakini wa hali ya juu na uaminifu. If you need a fast and trustworthy hospital or doctor to assist you in any case then you should go for Dr. Priyank. Thank you for your service.